Bila Kujari Matokeo...!
Kipute ni Kati Ya KMKM na Dar Young Africa, hii ni friend Match...!
Maofisa Wa Yanga Wakiongozwa na Injinia Hersi na Senzo Wameonekana Wametinga Ule Uzi ulioweka Rekodi Ya Kuwa Uzi wenye Mkataba Mfupi sana Kuwahi kutokea Duniani.
Mkataba ulidumu Kwa muda Wa Siku 7 tu...