watendaji wa kata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Watendaji wa Kata, Vijiji na Mitaa marufuku kumweka ndani mtuhumiwa kwa Saa 24

    Watendaji wa kata, vijiji au mitaa wametakiwa kuacha tabia ya kuwakamata watuhumiwa na kuwaweka ndani saa 24 ikielezwa kuwa hawana mamlaka kisheria. Kauli hiyo imetolewa na Mkufunzi wa Elimu ya Uraia na Utawala Bora kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani, Iddah John wakati akitoa ufafanuzi wa swali...
  2. B

    Jitihada za Serikali za mitaa na kata kufunika maovu

    Habari Wana Jamii forum, nitumaini langu wote mnaosoma hii post muwazima. Ni kwa uchungu mwingi nawaleteeni discussion ya maovu mengi yanayofichwa nakusokomezwa chini ya jamvi yanayofanywa na baadhi ya watendaji wa kata na wasimamizi wa serikali za mitaa. Siku hizi tumekuwa tukiona vimbwanga...
  3. B

    Watendaji wa Kata, Vijiji na Mitaa waagizwa kuendeleza uhakiki anwani za makazi

    Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Arusha Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Mwl. Husein Bakari amewaagiza Watendaji wa Kata na Mitaa wa jiji hilo kutimiza wajibu wao wa kuendelea kuhakiki taarifa za Anwani za Makazi na siyo kusubiri oparesheni kama inayoendelea sasa jijini humo. Mwl. Husein ambaye pia...
  4. R

    Watendaji wa kata ni Makada wa CCM au ni watumishi wa umma? Naona Arusha wamevaa sare za chama na wanaandamana

    Mrisho Gambo ameongoza maandamano ya madiwani, wenyeviti wa mitaa na watendaji wa kata. Kwa ufahamu wangu watendaji wa kata ni watumishi waajiriwa wa serikali kama walivyo waalimu sambamba. Je, ni sahihi wao kama watumishi wa umma kuvaa nguo za chama na kuandamana? Lakini maandamano si...
  5. Lady Whistledown

    Mbunge Francis Mtinga: Watendaji wa Kata Waajiriwe na TAMISEMI, sio Utumishi

    Akuzungumza Bungeni, Mbunge wa Jimbo la Iramba Mashariki, Francis Mtinga amesema Utaratibu wa Utumishi kuajiri Watumishi Kada ya Mtendaji wa Kata umesababisha ufanisi umekuwa mdogo Ameshauri badala ya Watumishi wa Kada za Utendaji wa Kata kupangiwa kazi na Utumishi, ajira hizo zirejeshwe...
  6. Suley2019

    TAMISEMI yatangaza ajira 3865 za Watendaji wa Kata, Vijiji na Mtaa

    Waziri Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Seriali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa amesema ofisi yake inakamilisha taratibu za kuajiri watendaji wa kata 525, watendaji wa vijiji 1,986, watendaji wa mitaa 1,333 na maofisa tarafa 21. Amesema hayo leo Jumanne, Aprili 16, 2024 wakati...
  7. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ntate Awasisitizi Maafisa Tarafa na Watendaji wa Kata Kuwekeza Katika UTT

    Mbunge wa Viti Maalum (Anayewakilisha Wafanyakazi Nchini) Anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate, leo tarehe 10 Oktoba, 2023 ameendeSemina ya Watendaji wa Kata na Maafisa Tarafa wa Mkoa wa Dar es Salaam. Semina hiyo iliyohudhuriwa pia na baadhi ya viongozi wa CCM Wilaya na...
  8. Stephano Mgendanyi

    Watendaji wa Kata Kulipwa Posho

    MBUNGE JANEJELLY NTATE AHOJI KULIPWA POSHO ZA WATENDAJI WA KATA Mbunge wa Viti Maalum Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate amehoji Bungeni kuhusu watendaji wa Kata wanaolipwa na wasiolipwa posho ambapo swali lilijibiwa na Naibu Waziri TAMISEMI Mhe. Deo...
  9. Stephano Mgendanyi

    Mkuu wa Wilaya ya Ludewa aongoza zoezi la ugawaji wa pikipiki kwa Maafisa Watendaji wa Kata

    Februari 24, 2023 Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva akiambatana na uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa ameshiriki zoezi la ugawaji wa pikipiki kwa Maafisa Watendaji wa Kata nane ambazo zimetolewa na Rais Samia Suluhu Hassan. Wakati wa zoezi hilo Mkuu wa Wilaya amemshukuru Rais...
  10. AUGUSTINO CHIWINGA

    Pongezi za watendaji wa kata Tanzania kwa Rais Samia

    Tunakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi iendelee! Awali ya yote tunapenda kuchukua fursa hii kukutakia heri na fanaka katika mwaka mpya wa 2023. Pia tunakupongeza kwa juhudi zako mbalimbali za kuliletea maendeleo Taifa. Mh. Rais sisi watumishi wako katika kada ya...
  11. Mwamuzi wa Tanzania

    Serikali iwakemee watendaji wa Kata, Mitaa na Vijiji kujihusisha na utapeli kwa vijana walioomba nafasi za kuhesabu watu

    Habari! Yaani bila aibu Mtanzania, mtendaji wa kata, mtaa na wilaya anaomba rushwa kwa vijana walioomba nafasi za kuhesabu watu. Hii ni aibu na ukatili mkubwa. Kijana ambaye hana ajira unathubutu vipi kumwomba rushwa ili apate ajira? Naamini sio wote wanaofanya huu uhuni ila nimefanya...
  12. Shadow7

    DC Mpogolo akabidhi pikipiki kwa watendaji 16 wa kata wilayani Same

    WATENDAJI wa Kata 16 Wilayani Same Mkoani Kilimanjaro wamepatiwa pikipiki ili kuongeza ufanisi wa ukusanyaji wa mapato, usimamizi wa miradi na kuhakikisha halmashauri hiyo inafikia lengo walilojiwekea kwenye ukusanyaji wa mapato na utoaji wa huduma kwa Wananchi. Akiongea wakati wa ugawaji...
Back
Top Bottom