Baada ya mipango yao ya kuandikisha watoto kufeli leo Chama cha Mapinduzi kimesema kinahujumiwa na viongozi na mawakala wao na watendaji wa serikali za mitaa.
Naomba kujuzwa wakuu kuna Ofisi nimeenda Ofisi ya Mkuu wa Mkoa muda wa kazi watumishi wa Ofisi husiku wote hawapo, hii imekaaje?
Nimeondoka bila kupata huduma yoyote nimepoteza muda na pesa naomba msaada hawa watu niende nikawatolee wapi malalamiko yangu hawa watumishi wa namna hii?
Wanapigiwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa maelekezo kwa watendaji wote wa Serikali kuanzia ngazi ya Mkoa hadi vijiji kutowaingilia wafugaji wote hapa nchini katika maeneo yao ya malisho kama ilivyo elezwa kwenye GN.
Aidha Rais Dkt. Samia amewarudishia kanisa...
Uongozi katika nchi yetu umegubikwa na wingi wa watendaji wa serikali ambao wanapelekea wingi wa matumizi ya pesa za serikali ambazo zingefaa kutumika katika sekta mbalimbali.
Andiko hili litaenda kugusia namna mabadiliko ya kiutawala katika ngazi ya vitongoji, vijiji, tarafa, wilaya mpaka mkoa...
Salaam wana JF
Weekend imeendaje kwenu
Moja ya vitu vinasikitisha katika mamlaka na baadhi ya watendaji wasio waaminifu ni kufuja mali za umma na wizi uliokithiri
Hii huenda imeshuhudiwa na wengi zaidi na vingine vikionekana tu viashiria lakini hakuna jibu la moja kwa moja kubwa kuna wizi...
Viwanda vingi ndani ya kila mkoa au wilaya ni mwokozi wa ajira Kwa vijana wasomi na wasio wasomi.
Kiwanda sio lazima kiwe kama vile vya mo au azam ndio kiwe kiwanda hapana viwanda viko kwenye makundi matatu kundi la pili nala tatu watanzania tuna limudu.
Watanzania tujifunze kuanzisha viwanda...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewaagiza watendaji wa serikali kuangalia upya utaratibu wa kuingia katika nyumba za wageni maarufu kama gesti ikiwezekana kuwepo na vitambulisho ili kujihakikishia usalama zaidi.
Chalamila amesema hayo leo Januari 15, 2024 jijini Dar es Salaam...
Katika miaka michache niliyowahi kufanya kazi katika jamii, nimegundua na kushuhudia namna WATENDAJI wa serikali wanavoihujumu serikali na nchi yao kwa kupokea rushwa.
Hili linajidhihirisha katika mikoa ya Tabora, Shinyanga na Simiyu ambapo watoto wengi huachishwa shule kwaajili ya kuchunga...
Huku ndiko kwenye mashina ya wananchi, ndipo wanapokutana na wananchi moja kwa moja kutatua changamoto zao. Kama vile migogoro ya ardhi, familia na kimkataba.
Lakini serikali inatuletea mabinti wadogo wadogo, kweli kuja kusikiliza migogoro ya ndoa, familia na kiuchumi kweli? Wanasikiliza na...
Tumejipanga na tunakuja na mkakati kabambe kumaliza Migogoro ya wakulima na wafugaji alisema Shaka,
Kwa msisitizo alisema, Nataka tuandike pamoja historia ya kumaliza kabisa changamoto ya migogoro hii Kilosa.
Namimi nikiwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa wilaya hii nitaanza na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.