Hilo nimelibaini katika pitapita zangu huko twitter.
Na kingine na maana ubunifu wa kutengeneza maudhui umeisha hadi content nyingi ziwe zina relate tu na mambo ya uasherati na uzinzi🤔
Wakuu mpo vizuri?
Huyu jamaa aliyejirekodi akioga na kuvunja nazi katikati ya barabara aliona hii ndio njia sahihi ya kuchekesha? Hapana, huu ni ujinga na hatari.
Kwanza, anachafua barabara kwa mabaki ya nazi na maji, akiharibu miundombinu. Pili, amesababisha foleni kwa madereva waliolazimika...
Moja kwa moja kwenye mada. Huenda mimi si hadhira sahihi kwa baadhi ya maudhui fulani ambayo wengine wanayapenda huko mtandaoni. Hata hivyo, maudhui yanaposambazwa waziwazi mtandaoni, mtu yeyote anaweza kuyaona na watengeneza maudhui hawawezi kujua kwa uhakika kama maudhui yao yatafikia tu...
Salaam.
Nimeliona hili muda mrefu ila sababu leo ni Dabi ya kariakoo nimeamua kuliongelea.
Nimeliona kwa baadhi ya wasanii, comedian, watangazaji na baadhi ya watu maarufu.
Utakuta mtu ana mkataba na Yanga, alafu pia ana mkataba na wasafi bet, sasa anavaa jezi ya Yanga alafu ana Blur mdhamini...
Kuna vijana wengi wanatengeneza maudhui ili kujipatia umaarufu au fedha mtandaoni. Hii sio shida, shida inakuja pale ambapo unatumia sura ya mtu bila kuwa na idhini yake. Tulishazungumzia hili kwa ma-mc wanachukua watu video na kuweka kwenye page zao, ambazo video hizo zinakuwa zinatweza utu wa...
Wakuu mko vyedi?
Watengeza maudhui hawa walikaa chini wakafikiria wakaona hii ndio content inafaa na inachekesha kabisa?! Hapana jamani hii siyo sawa.
Kwanza ni hatari kwao na hata kwa magari na watumizi wengine wa barabara. Mtu anatoka huko breki zimefeli anakuja kukuvaa utamlaumu nani, tena...