Position: Solar Water Pump Engineer with Water Filtration Experience
Location: Arusha, Tanzania
Position Type: Full-Time
Reports to: Managing Director
Responsibilities:
Solar water pumping system design: use third party software to design solar water pump systems using Lorentz COMPASS...
Habari za leo wakuu,
Nimenunua pedrollo 0.5 hp
water pump kwa ajili ya
matumizi ya kujaza maji
kwenye matenki ya matumizi
madogomadogo hapa
nyumbani lakini kila nikiwasha
na nikifanya primming naona
bado haiwezi kupandisha maji,
Yeyote aliyewahi kukutana na
changamoto kama hii...
Je, unatafuta muuzaji wa water pump Tanzania? National commercial Directory ndio mahali pa kwenda! Tuna orodha kamili ya wauzaji na wasambazaji wa water pump nchini Tanzania. Unaweza kuchuja matokeo yako kwa eneo, aina ya pump, na bei. Pia unaweza kusoma hakiki za wateja ili kupata muuzaji bora...
Ni matumaini hatujambo sote,
kama heading ilivyo nimefunga single phase 2kva Automatic Voltage Stabilizer ili ku protect submersible water pump 1hp (750w) lakini imeshindwa kubeba ku trip off...
Ukiondoa hiyo AVR pump inafanya vizuri tu
Na hiyo AVR kwenye shughuli zingine km...
Water pump Leo =300k
Printer canon na Hp=200k
Canon: inahitaji toner
Hp: printhead imekufa
Samsung note 9=400k
Washing machine( von hotpoint 10kg) = 50k
Washing machine: upande wa ku spin haufany kazi
Bati alaf la kigae gage 28 zipo 15pcs= 800k
Mazungumzo yapo..
Huduma zetu!
KUCHIMBA VISIMA VYA MAJI.
KUWEKA NA KUTENGENEZA BOMBA (PLUMBING SYSTEM) KWENYE MAJENGO YALIYO KWENYE UJENZI NA YATUMIKAYO.
KUBADILISHA/ KUSAFISHA PIPE ZA MAJI SAFI/TAKA ZILIZOPASUKA/ KUZIBA.
KUTENGENEZA (REPAIR) PUMPS ZA MAJI.
0759600809
Gerezani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.