watesi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Je, zile Hasira zake za jana zinaenda pia na kwa Watu wake hasa wa CCMVU na MK Ima au ni kwa Sisi Watesi, Wamarekani na Wapinzani?

    Nitashukuru kama nikijibiwa juu ya hili kwani najua kuwa hata Watu wa Chamani Kwake nao walipaza sana Sauti zao.
  2. Cute Wife

    Pre GE2025 Makonda ataibuka aanze kuwananga watesi wake hawamuwezi, Sabaya atalamba teuzi. Tutahamia kwenye ubuyu mwingine, wameshajua ndio tulivyo!

    Wakuu wakati tunavuta mashuka nimeona nipite kidogo.... Wenye nchi wameshatujua, tunapenda umbea kuliko hata uhai, wanapiga mziki ule ule ambao tumezoea kuusikia na sisi bila hiyana hao rumba tunalisakata. Pia soma: Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya...
  3. Jaji Mfawidhi

    Watesi wa Chongolo wameshinda: Mengi yaja

    Novemba 28, 2023 nilianza kuona fununu za aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo kujiuzulu. Nikiri ilikuwa nimetokea msibani Bukoba ambako nilikaa siku nne, hivyo sikuwa na taarifa za kinachoendelea mtandaoni. Novemba 29, 2023 nilisafiri kwenda Nairobi, na hatimaye...
  4. M

    Tuanze Maombi Maalum Kwa ajili ya Ben Saanane na Watesi wa Tundu Lisu

    Shalom! Wapendwa tunapoelekea, kukamilisha kipindi Cha Kwaresma, nawasihi wanamaombi tuingie KATIKA Maombi Maombi Maalum ya kuitafuta ukweli Juu ya Mpendwa wetu Ben Saanane! Mpaka Sasa haijulikani yupo wapi, alikufa au yupo hai! Watoto wake, mke wake wazazi wake wemepitia Magumu sana! Hivo Kwa...
  5. C

    Waziri Simbachawene, usijifanye hujaona mahojiano ya Rose Muhando akilituhumu jeshi la polisi na serikali. Mtendeeni haki, washughulikieni watesi wake

    Sina mengi, Rose Muhando akihojiwa na wasafi TV alitoa tuhuma nzito kwa jeshi la polisi na serikali kushirikiana na watu waliomtesa na kumnyanyasa kiasi cha kukosa pa kushitaki lakini cha ajabu Simbachawene unajifanya hujaona mateso ya huyu dada. Ni lazima haki itendeke kwa Rose Muhando na...
  6. B

    Mbowe akija kuwa Rais, Itakuwaje kwa watesi Wake?

    Dunia duara na wengine husema dunia mzunguko. Walikuwapo kina Mandela, Kenyatta, Nyerere hata huyu wa Zambia. Katika harakati zao wakajitanabaisha ana kwa ana na watesi wao hadi jela zikawahusu. Mungu si Athumani hivi nyote hata bila kuyataja majina yenu mnazijua hatima za watu wote? Au ni...
Back
Top Bottom