Hili ni kinyume cha sheria. Si Donald Trump wala Elon Musk anayo mamlaka ya kufuta USAID; ni Bunge (Congress) pekee linaloweza kufanya hivyo kwa kupitisha sheria.
Kesi za kisheria zinaendelea, ili kujaribu kuzuia hili.
JFK alitoa amri ya kiutendaji kuunda USAID, kisha baadaye Bunge...
Kiuhalisia matukio tunayo yaona ya kutekana ,kuteswa , kupotea yalikuwepo tangu awamu ya kwanza , Tofauti kubwa ni kukua kwa mitandao. Ingawa mengi yameanza kuonekana miaka ya 2010 sababu ya kukua medias .
Zamani watu waliokuwa wakihusiswa ni wale maarufu sababu ndio waliokuwa na uwezo wa...
Maandamano ya Kupinga vitendo vya Utekaji yaliyoitishwa na Wanaharakati wa Haki za Binadamu na Ndugu na Jamaa wa watu walioripotiwa kutoweka katika mazingira yenye utata, yameanza leo nchini humo licha ya Jeshi la Polisi kuyaita ni haramu.
Hatua hiyo inafuatia kupita Saa 48 za wito wa kuachiwa...
Siku ya Kimataifa ya Watetezi wa Haki za Binadamu Wanawake huadhimishwa kila mwaka tarehe 29 Novemba.
Siku hii inatambua juhudi za wanawake wote wanaofanya kazi kwa bidii kutetea haki za binadamu, pamoja na watetezi wa haki za binadamu wanaopambana na ubaguzi dhidi ya wanawake.
Mwanzo wa...
Wadau hamjamboni nyote?
Hiyo ndiyo Hali halisi huko Iran Kila siku wafungwa 5 wananyongwa
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Iran executes 92 prisoners in 17 days, rights groups say
2 hours ago
Share
At least 92 prisoners have been executed in Iran since the start of October, averaging...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Kumekuwa na Video ya Binti mmoja inayozunguka mitandaoni ikionyesha namna anavyobakwa na kukawitiwa na Vijana kadhaa,Vijana hao ambao wamesikika wakitamka hadharani na kumshurutisha yule Binti akili hadharani na kumuomba radhi Afande.
Kwa akili ya...
Ufaransa ulienda kwenye michuano ya fainali za kombe la dunia 2002 kule south Korea and Japan as double champions, having won the 1998 world cup and Euro 2000.
Ufaransa walipangwa kundi A wakiwa pamoja na Senegal, Uruguay, Denmark. Kwa Senegal ndio ilikua Mara yao ya kwanza kwenye world cup na...
Mmekua na kasumba wa kutushambulia ambao hatutaki ndoa lakini insasikitisha sana mashambulizi yenu huwa hamlengi kwenye point mahususi. Utetezi wenu huwa unalenga zaidi kwenye dhiaka mfano kataa ndoa ni mashoga, hawana hela, wamelelewa na single parent, wana trauma n.k lakini kwenye point huwa...
Katika hali ya kushangaza kumetoka aidha mgomo au chama kimekosa Mvuto kabisa.
Wengine wanadai aaah wapi sio kukosa mvuto bali chama hakitoi maokoto kama zamani hivyo watu wanaovutwa na mafumba wamekikacha.
Enzi za huko nyuma tulishuhudia social media zilizobamba kwenye anga la Tanzania...
Mimi binafsi kama raia wa kawaida nilitarajia kusikia watetezi wa Rais Samia wakijibu hoja za Lissu, Mwambukusi na wengineo kwa hoja zenye mantiki.
Mfano, kwa nini IGA ni mkatataba tayari kama ibara ya 2 ya IGA inanyosema. Kwa nini IGA iseme migogoro itapelekwa ICSID Kinyume na sheria za ulinzi...
Thamani ya rasilimali zetu imeshushwa chini kutoka kwenye utetezi wa watu makini hadi kutetewa na chawa; chawa hawana hoja wana matusi na tunaamini tutapiga hatua ?
Ni fedhea kubwa sana kuona baraza la maaskofu na watetezi wengine wa rasilimali zetu wanakosa wasome wakuwajibu badala yake...
Hayo yamesemwa na Kiongozi wa jopo la watetezi wa haki za Binadamu Anna Hega wakati walipokutana na waandishi wa habari jana.
My take:
1. Jambo kubwa kama hili la Uhaini haliwezi kupelekwa mahakamani bila prior approval/ or the President to be informed. Anna Hega, sahau hilo. Lazima Samia...
Walipoondolewa Wamasai kule Loliondo, kuna watu walitetea sana maamuzi yale wakidhani maamuzi kama yale yataishiwa kwa Wamasai tu, hawakujua yale maamuzi yalikuwa yanaweka precedence mbaya kwa siku zijazo.
Leo tunavuna tulichopanda halafu tunalialia!
Tumelaniwa!
Yaaani Kuna watu wanaiba kuku na vitu vidogo vidogo mitaani wanachomwa moto wengine kupigwa vibaya Sana iweje waliofoji vyeti washughulikiwe iwe nongwa iweje watendaji wazembe washughulikiwe iwe nongwa kwa mafisadi na watetezi wake.
Magufuli alilegeza kamba alitakiwa awe mkali zaidi na...
Hayati JPM yuko kaburini mwaka wa pili sasa lakini bado anasumbua vichwa vya walioko hai na kufikia hatua ya kumshambulia na kumtukana kwa kila hali akiwa zake kaburini lakini umma wa watanzania unatetea na kuwapinga hadharani wanaomtukana.
Nguvu ya Hayati Magufuli inatoka wapi wakati hayuko...
Mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo ndio anaongoza kwa hoja nzito za kuwapigania wananchi ndani ya Bunge tofauti na wabunge wengine wa kusifu na kuabudu akifuatiliwa na Bashiru Ally.
Tuweke list ya top 5 ya wabunge watetezi kweli wa hoja za wananchi bungeni;
1. Mrisho Gambo
2. Bashiru Ally
Wakuu,
Mimi hua nikiangalia bunge letu naona wachekeshaji tu na watu wenye vioja na mzaha mwingi yaani ile dhana ya wawakilishi inafia hapo.
Hua najiuliza hawa jamaa wanaenda mule ndani na mawazo yao au mawazo ya wananchi?
Haiwezekani tozo ipitie kwao wapitishe sheria baadae wananchi...
Ukimya umekuwa mkubwa kwa wanaharakati na wanasiasa ,ukimya ambao unashtusha na kutia hofu kubwa.
Leo hii yupo wapi Zitto Kabwe tuliyemzoea kukosoa serikali kwa hoja zenye mashiko, yupo wapi Freeman mbowe na tindu lissu wasemaji hodari wa kuwasemea wanachi pale Mambo serikalini yanapoenda...
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando amewataka wanahabari kuendelea kufanya kazi kwa bidii na ueledi zikiwemo za utetezi wa Haki za binadamu ili kuongeza tija katika kuwahabarisha wananchi taarifa zilizojitokeza na zitakazojitokeza.
Msando amesema hayo Mkoani Morogoro wakati akifungua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.