Kuna midume humu kazi yao ni kijipendeka kwa wanawake kwa kujifanya watetezi wa wanawake hasa kwenye mada zinazo ongea negative kuhusu wanawake, tena wengine wanafika hatua za kuanzisha mpaka thread za kuwatetea ,nataka niwaambie mnakera sana.
Mm nimeanza kuifuatilia JF mwaka 2017 na nikaja...