Mwaka 2008, nakumbuka nilisafiri kwenda huko Mpanda. Sasa basi tulilopanda, lilichelewa sana kuondoka. Abiria tulianza lalamika. Kondakta wa basi akatujibu 'kwanza hampaswi kulalamika, inabidi mumshukuru sana huyu Ali, maana amewasaidia sana kwa kuweka basi kwenye njia hii'. Kauli ile ilinikera...