Wateule wa Rais - Wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa halmashauri, n.k.
Watumishi wa vyombo vya ulinzi - Polisi, Jw, Usalama.
Wahindi na Waarabu - $$$ (top 20 ya matajiri wanapokezana namba), Connections nzito, Exposure, umoja.
Watu wao wa karibu - watoto, ndugu, wazazi, marafiki...
Kupitia falsafa ya 4Rs,
Rais wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan ana lenga na anakusudia kuiponya Tanzania kwa majeraha mbalimbali ya kisiasa, kijamii, kiuchumi, kitaifa na kimataifa, na kujenga hali na mazingira ya kuaminiana na kurejesha imana za wanachi zilizotoweka katika kuamini taasisi za...
Wengi wanaoteliwa na Rais, ndio mfumo tulionao. Hiki kitu siyo kibaya, tatizo linalotokea ni watu kufanya kazi kwa uoga na hofu. Anaamka asubuhi anakwenda ofisini hajui jioni kama atakuwa ana hiyo nafasi.
Unaweza ukakuta ameshatumbuliwa, ule uhakika wa kuwa kazini unapungua na unapopungua watu...
Salam JF,
Leo kwa mara ya kwanza naomba nimtetee Rais wangu baada ya Tafakari kubwa kiasi. Huyu Mama ana maono mazuri ila shida iko kwa wateuzi wake na Machawa.
Kwa siku za hivi karibuni Tumeshuhudia Mh Rais Samia akifanya mapinduzi ya Baraza la mawaziri,wakuu wa mikoa na kada nyingine za...
Kwa sheria tulizo nazo inawezekana RC, Waziri, DC, Katibu mkuu au Mkurugenzi wa shirika kukamatwa na kufukishwa mahakamani kwa tuhuma yoyote bila kutenguliwa au ridhaa ya mamlaka yake ya uteuzi ?
Tofauti na ma DED Kuna mteule yoyote wa Rais katika nafasi za juu aliwahi kufikishwa mahakamani...
Mzee Jenerali Ulimwengu anasema tukiamini Rais ndiye anateua Wakuu wa Mikoa wote, Wakuu wa wilaya wote, Wakurugenzi wote tutakuwa tunajidanganya tu kwa Sababu hakunaga Rais mwenye Uwezo huo.
Rais hupelekewa orodha na yeye huenda akawa anawafahamu baadhi tu hivyo wanaotengeneza orodha ndio...
Wateule wa Rais Katibu Mkuu, Katibu Mwenezi, Makamu Mwenyekiti Taifa, Wenyeviti na Makatibu wa CCM Mikoa, UVCCM, UWT na Mawaziri, siwaoni wakimsaidia Mama Samia, Rais na Mwenyekiti wa Chama Taifa kujibu hoja za uwekezaji wa bandari!
Kwenye maamuzi ya Rais Samia siku za nyuma waliitisha press...
Wabunge na Watumishi wa Bunge waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa wameiomba serikali kuweka utaratibu wa viongozi wanaoteuliwa kupewa mafunzo ili kuwajengea moyo wa uzalendo, utii, uhodari na wepesi katika maamuzi kwenye nafasi zao.
Wabunge 21 na watumishi wa Bunge 18 wamepata na...
Siku za hivi karibuni hasa kuanzia serikali ya awamu ya tano mpaka sasa, wananchi wameacha kuamini mifumo rasmi ya utoaji haki badala yake wanaamini viongozi wa kisiasa mfano wakuu wa wilaya, mikoa, mawaziri na watendaji katika vyama vya siasa katika kudai haki hasa ile inayojikita katika...
Mara nyingi tumekuwa tukishuhudia viongozi mbalimbali wakiapa Mbele ya Raisi ktk kutumikia nafasi mbalimbali walizo aminiwa.
Lakini jambo la kushangaza na kustaajabisha baadhi yao huwa wanaenda kinyume na kiapo kwa kufanya mambo tofauti kabisa au wakati mwengine kutokufanya kabisa kile anacho...
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) wametoa wito kuwa katika Katiba Mpya ambayo wanaidai iwe na kipengele kinachotaka wateule wa Rais wapitishwe Bungeni kisha wandelee na kazi zao
Hayo yataepusha kuwa na watumishi ambao hawana weledi na watumishi ambao wanarekodi ya matukio ya uhalifu...
Hawa ni baadhi ya vijana wadogo kabisa toka UVCCM walioteuliwa kuwa makurugenzi.
KWA MUJIBU WA MEMORANDA YA FEDHA SERIKALI ZA MITAA(LGA) HAYA NDIO MAJUMKUMU MAZITO YA DED
1. Ensuring the existence of a formal and satisfactory system of financial administration;
2. Securing compliance with the...
Nimefanikiwa kuwadodosa baaadhi ya wazee wenye nyadhfa serikalini kuhusu mkanganyiko wa mambo unaoendelea nimeshtushwa kwamba hata wao wanayojadili na kuyaamini si haya yanayotekea kwenye utendaji.
Nafasi ya wanasiasa Ni kubwa Sasa kwa Sasa hasa baada ya kutoa wataalam na wabobezi wengi kwenye...
Nimejulishwa kuwa kuanzia sasa ( Awamu ya Mama japo ya Hayati ilijaribu ila ikatoweka ghafla ) ni kwamba ni Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri, Mabalozi, Wakuu wa Idara Nyeti na Wakuu wa Mikoa tu ndiyo watakuwa wanaapishwa na Rais akiwa mbele yao.
Kuanzia Wakuu wa Wilaya, DED na DAS sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.