Miongoni wakiwa ni wale waliohukumiwa kifo juzi,
baada ya M23 kuingia mjini Bukavu, walinzi wa gereza la Bukavu waliondoka zao na kuwaacha wafungwa, ambao pia waliona isiwe tabu, wakarudi kwanza uraiani.
Wakati huo, jeshi la serikali liliamuwa kusambaza silaha mjini, na kila raia aliejisikia...