Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Mboni Mhita, amezifariji familia mbili zilizopoteza watoto wanne, wakati wakiogelea kwenye bwawa lililokuwa likitumika katika ujenzi.
Tukio hilo limetokea Februari 15, mwaka huu, majira ya jioni, wakati watoto hao wakitoka shambani kata ya Bulige, Halmashauri ya...