Ndani ya wiki moja baada ya kuzaliwa, mtoto wa kike anaweza kutokwa na kiasi kidogo cha damu kwenye via vyake vya uzazi.
Kitendo hiki kinachofahamika kama false menses (Hedhi ya uongo) ni cha kawaida lakini hakipaswi kutokea tena hadi pindi atakapo vunja ungo.
Huchangiwa na kuondoka kwa...