Amani iwe nanyi.
Hivi karibuni, Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe amezua taharuki na sintofahamu kwa Waislamu wa Wilaya ya Kisarawe na Tanzania kwa ujumla baada ya kuvamia msikiti huko Kiluvya na kufungia kituo cha kuhifadhisha Quran. Alitoa amri kuwa wanafunzi warudi makwao na akasema kuwa kitendo...
Watoto kutoka Mtwara, Singida, Nairobi n.k wakutwa katika mazingira yasiyo rafiki ya malazi huku wakikosa elimu dunia msikitini Kiluvya wilaya ya Kisarawe mkoa wa Pwani nchini Tanzania wakipatiwa mafunzo ya kidini.
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti akiwa na Kamati ya Ulinzi wamefanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.