Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu ametuma tena Salamu kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kulitazama suala la kupotea kwa Watoto kwa umakini zaidi.
Ado ameyasema hayo wakati anahutubia Wananchi wa Jimbo la Mbogwe Mkoani Geita, Septemba 29, 2024.
Amesema...
Moja kwa moja..
Ukichunguza kwa makini vitu vikubwa vinavyongaliwa majumbani kwenye Tv ni tamthlia , movies na miziki na ndani ya hivyo vitu miongoni maudhui makubwa ni;
1. MAPENZI : humo utakuta kumejaa kutongoza , romantic scenes na mambo mengine ambayo hayafai watoto kuyaona wala...
Wakuu,
Kwenye video hii kuna kijana anakiri yeye na wenzake kushirikiana kuiba watoto, ambapo kwa kila mtoto wanayeiba hupewa Tsh. 5,000.
Watoto hao huuliwa na kisha miili yao kupelekwa Dar. Video haielezei zaidi kama ni mambo ya ushirikina au nini.
Pia soma: Special Thread: Taarifa za Watu...
Inadaiwa wakubwa wamefura kwa hasira kuhusu kichwa cha habari kolezo kuhusu tukio la maandamo kule Simiyu.
Inasemekana Mhariri wa jarida hilo anapigiwa simu nyingi kuhojiwa kuhusu hilo.
Baadhi ya Wananchi wameandamana na kuvamia Kituo cha Polisi cha Lamadi wakidai askari Polisi wa eneo hilo wameshindwa kuwajibika wakidai kuna muendelezo wa matukio ya Watoto kupotea Mkoani hapo.
Baadhi ya Wananchi wengine pia walifunga Barabara ya Kuu ya Mwanza-Simiyu-Mara, baada ya tukio hilo...
1. Waziri
2. IGP
3. DG wa Teeth
4. Sa100 mwenyewe
5......n.k
hivi kweli wameshindwa kukamata mzizi wa hiki kitu hadi wananchi wachukue sheria mkononi? samia ameona yule mzanzibari mwenzie mambo ya ndani anatosha sana kwenye mazingira kama haya kiasi kwamba nape na makamba ndio walishindwa kazi...
Watoto wawili wa familia moja wamepotea katika mazingira ya kutatanisha mkoani Arusha, baada ya kuaga wanakwenda shule jana Julai 24, 2024, lakini hawakurudi nyumbani na mpaka leo hawajaonekana popote.
Watoto hao wanaosoma Shule ya Msingi Olosiva, wilayani Arumeru, wamedaiwa kupotea baada ya...
Ugumu wa maisha na jinsi tunavyo ishi nahisi tujapigwa matukio ya kutosha ukilinganisha na nchi zengine zenye human traffic.
Mfano Mexico, USA, india Russian nchi zenye magaidi au vita watoto utekwa sana ubakwa, kuuzwa viungo, ushirikina na kuuzwa kwa matumizi ya kingono na mengine.
Tuje kwa...
Habari za usiku wakuu!
Jamani juzi kati hapa kuna mtu alipost uzi fulani kuhusiana na tatizo la utekaji wa watoto baadhi ya maeneo ya dar es salaam. Leo almanusura tumpoteze mtoto wa ndugu yetu, tukio lilitaka kutokea maeneo ya kimara matosa, mtoto aliitwa na watu wasiojulikana walikuwa kwenye...
Wakuu amani ya Mungu iwe nanyi.
Kumekua na taharuki kwa wakazi wa Temeke, Tandika, Mbagala na Vikindu kwa ujumla wake.
Imejitokeza sintofahamu ya watoto kupotea na kukutwa wakiwa wamefariki huku miili yao ikiwa haina baadhi ya viungo.
Majuma kadhaa yaliyopita maeneo ya Mbagala Mgeni nani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.