Mtoto Ashfaki Abimu (5) mkazi wa Mbagala Kizuiani jijini Dar es Salaam, amekutwa amefariki dunia katika eneo ya Mbagala Kibonde Maji ndani ya jumba bovu, baada ya kupotea kwa takribani siku tatu akiwa anacheza nje ya nyumba yao ambapo mwili wake umekutwa ukiwa umefanyiwa kitendo cha kikatili...
Kuna kipindi kulitokea janga la uchunaji wa ngozi za binadamu.
Likaja janga la kutolewa viungo vya mwili kwa ndungu zetu wenye albinism.
Sasa ni kuna taharuki kuhusu uibaji wa watoto. Ingawa jeshi la polisi lime downplay taharuki hii kusema ni za kizushi ila bado pia inatakiwa tuwe makini kwa...
Salaam!
Ndugu zangu wanajeiefu poleni na majukumu mbalimbali ya kiuzalishaji Mali.
Kuna matukio yanaendelea kwa kasi sana yanayoonesha utekaji wa watoto tena yakifanywa na watoto wadogo mno ambao wanatumwa na hao watu wenye nia ovu dhidi ya watoto.
Shime ndugu zangu,shime vyombo vya habari...
Habari za usiku wakuu!
Jamani juzi kati hapa kuna mtu alipost uzi fulani kuhusiana na tatizo la utekaji wa watoto baadhi ya maeneo ya dar es salaam. Leo almanusura tumpoteze mtoto wa ndugu yetu, tukio lilitaka kutokea maeneo ya kimara matosa, mtoto aliitwa na watu wasiojulikana walikuwa kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.