Habari Wakuu,
Naamini wengi sio wageni na akaunti za watoto kwenye mitandao ya kijamii kama vile Instagram, Facebook, TikTok na kadhalika.
Akaunti hizi zinazofunguliwa na wazazi/walezi zimekuwa zikisimamiwa na wazazi wenyewe mara nyingi, na mara chache mtoto anaachiwa kuendesha account hiyo...