Wakuu,
Vitendo vya kuwaingiza watoto kwenye uchawa vinaongezeka kwa kasi sana, CHADEMA walianza kule Mbeya ila baada ya spana za wananchi naona walijifunza.
Mbali na kuwaweka watoto kwenye chipukizi sasa watoto wanaaza kukaririshwa uchachawa na kupenyeza ajenda za wanasiasa, hii siyo sawa...