watoto shuleni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Taasisi ya elimu yawataka wazazi wenye watoto shuleni kuwanunulia vitabu vya mtaala mpya, Je, huwa unawanunulia vitabu vya shule watoto wako?

    TAASISI ya Elimu Tanzania (TET)imetoa rai kwa wazazi na walezi wenye watoto wanaosoma madarasa ya awali, msingi, sekondari ,vyuo pamoja na watu wenye mahitaji maalum kununua vitabu vya mitaala mipya vinavyopatikana katika taasisi hiyo na kuuzwa maeneo mbalimbali nchini Rai hiyo imetolewa Jijini...
  2. Bunchari

    Kwanini mabasi mengi yanayobeba kupeleka watoto shuleni na kurudisha majumbani yanakua yamechoka sana?

    Habari wakuu hope mtakua mnaendelea vema na weekend Nimekua najiuliza kwanini magari yanayobeba watoto wa shule yamekua katika Hali mbaya sana kiufanisi N:B sio lengo langu kuwafundisha wa husika kazi na Wala sina mamlaka ya kuhoji katika hili.
  3. Miss Zomboko

    Namtumbo: Wazazi waacha kupeleka Watoto Shuleni wakiaminishwa Yesu Kristo anakaribia kurudi

    Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo, Ngollo Malenya amefanya msako wa Wanafunzi ambao hawajaripoti Shule za Msingi na Sekondari Vijijini ambapo katika hali isiyo ya kawaida alipofika Kijiji cha Chengena kwenye msako wa nyumba kwa nyumba amebaini uwepo wa Mtumishi wa Mungu Erick Manyanya (33)...
  4. BARD AI

    Serikali yasitisha matumizi na kuagiza uchunguzi wa Kifaa kinachodaiwa Kupima Vipaji Maalumu kwa Wanafunzi

    Kufuatia kuwepo kwa taarifa za kubuniwa kifaa maalum cha kupima vipaji vya watoto shuleni na moja ya shule jijini Dar es Salaam, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Adolf Mkenda ametangaza kusitishwa kwa matumizi ya kifaa hicho kwa muda hadi hapo serikali itakapojiridhisha juu ya ubora...
  5. OLS

    Watoto wa shule wanapata shida sana, kuwe na maazimio ya kitaifa

    Baada ya kusikia watoto waliofariki kwa kuzama mtoni, nikakumbuka takwimu zinazoonesha idadi ya watoto wanaovuka maji kufika shule, idadi ya watoto wanaovuka maeneo yenye wanyama hatarishi kufika shule. Serikali inajua kuhusu hilo, kwa kuwa takwimu hizi nazitoa kwao. Basi nikaingia niangalie...
Back
Top Bottom