Wakati shamrashamra za maandalizi ya Siku ya Wanawake Duniani zikipamba moto, Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga amewashukia 'watoto wa 2000' akidai kwamba wengi wao hawajishughulishi na kazi zozote wawapo makwao.
Habari wakuu, apa ngoja niwape true story but fupi ila inachekesha sana.
Apo kwanza ngoja nicheke.
Leo asubuhi, mazingira ya asubuhi, kuna mabinti wawili wamekuja kazini. Mmoja mama K, mwingine ni kabinti ka 2000. Alivyofika, kakawa kananichekea chekea. Baadaye, mshikaji akamtongoza na...
Sisi tulio zaliwa miaka ya themanini katikati, themanini mwishoni na tisini pamoja na kaka zetu wa themanini mwanzoni na wale wa miaka ya sabini, tuache kushobokea issues za watoto wa elfu2 coz wana dunia Yao ya peke Yao. And they don't like us wanasema sisi washamba.
Watoto wa tisini tu...
Ipo siku mtakumbuka huu Uzi Ila nawaambia vijana wa 2000 ndo wataleta mabadiliko ya kweli katika hili Taifa.
Hiki ndo kizazi kimezaliwa katika nyakati ngumu sana, kizazi ambacho mtu anasoma degree Ila anakuja kulipwa 150K
Kizazi kinachopitia mateso .
So hiki kizazi Serikali inatumia nguvu...
Wadada Wanataka Wanaume Matajiri wa pesa alafu wao Ni maskini wa Akili,Utajiri na Ujinga Havikai sehemu moja",
Ndio Maana Badala ya kuwa Na wadangaji mabilionea tuna wadangaji masingle mother wanaoita Wanaume wote Ni mbwa 😂😂😂",
Wadada kumiliki Hela Sio kitu Rahisi,Ingekuwa Ni Simple Baba Zenu...
Kesi ya Zombe ni moja ya kesi maarufu za mauaji nchini Tanzania. Inamhusisha aliyekuwa Afisa wa Polisi, Abdallah Zombe, na maafisa wengine wa polisi waliotuhumiwa kuhusika na mauaji ya wafanyabiashara watatu wa madini kutoka Mahenge, mkoani Morogoro, mwaka 2006.
Maelezo ya Kesi
Mnamo Januari...
Kuna kundi kubwa la wazee wa 2000 walitusumbua sana hapa miaka ya karibuni wakitaka haki ya kumiliki shirika la mapenzi
Kuingia kwetu 2025 kumewaondolea rasmi haki miliki ya mapenzi na badala yake sasa wamesajiliwa kwenye kundi la wazee.
Hakuna mtu mzima wa 2000 asiye na familia, la sivyo huyo...
Wakuu!
Leo tena nimeona isipite hivi hivi bila kutia neno lolote la maana na mimi kwenye tafakuri zangu. Hili nitakalolieleza ni moja kati ya yale mengi ambayo nimekaa nikayawaza sana kuhusu watoto waliozaliwa 90 na watoto waliozaliwa 2000.
Kwanza kabisa inabidi uelewe watoto wa 90 ni wale...
Hawa Mabinti wa 2000 bado akili zao ni ndogo sana,wana mambo ya ajabu ajabu na wivu wa kinaa sana.
Muda wote vinawaza mapenzi ,havielewi kama huu ni muda wa kazi,vinataka mchati muda wote,vinaweza kukufuata sehemu ya kazi vikatia kambi hapo kinakupigisha stori hakuna cha maana.
Mimi na viona...
WanaJamiiForums, habarini!
Vilio vya ugumu wa maisha vimezidi kushika kasi siku baada ya siku. Zaidi vilio hivi vinatoka kwenye kundi hili la hawa vijana wa 2000 kuja juu. Ukizingatia ndilo kundi ambalo limemaliza vyuo vikuu na kwa ukubwa lipo mtaani.
Wadogo zetu hawa siwasemi na wala...
Nakumbuka hata mimi nilivyokuwa teenager nilidhani dunia ndio inanizunguka mimi, yani nilijua nilichokijua kuwa ni bora ndicho kilicho bora kuliko vingine vyote.
Yani leo hii mtu anakuja kuandika humu JF eti haka kakisabengo ndiko kaandishi bora wa maandishi ya muziki.
Tofautisha kati ya...
Tuweke kumbukumbu sawa yanga ashapigwa na simba
1.6-0
2.5-0
3.4-1
4.3-1
5.2-0
6.1-0
Yanga washakimbia kabla ya mechi mara mbili na moja kipindi cha pili wakaingia mitini hizi ni rekodi za simba kuinyanyasa yanga
Uto tunaitaka rekodi kama hii tuione!
habari za ujenzi wa taifa?
Hili swala la kuwachukulia Watoto wa miaka ya 2000 tofauti limekuwa likizidi kushamili siku Hadi siku sijajua labda social media kwa kipindi hiki ila hapo zamani kidogo (80' 90')sijawahi sikia kizazi fulani kikibezwa kwa namna yoyote tofauti na kuchukuliana lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.