watoto wa 2000

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Queen Sendiga awachana watoto wa 2000, hawajishughulishi na kazi za nyumbani

    Wakati shamrashamra za maandalizi ya Siku ya Wanawake Duniani zikipamba moto, Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga amewashukia 'watoto wa 2000' akidai kwamba wengi wao hawajishughulishi na kazi zozote wawapo makwao.
  2. Mtoto wa 2000 kaniambia nimezubaa sana. Kauli yake sijaipenda kabisa!

    Habari wakuu, apa ngoja niwape true story but fupi ila inachekesha sana. Apo kwanza ngoja nicheke. Leo asubuhi, mazingira ya asubuhi, kuna mabinti wawili wamekuja kazini. Mmoja mama K, mwingine ni kabinti ka 2000. Alivyofika, kakawa kananichekea chekea. Baadaye, mshikaji akamtongoza na...
  3. Video: Dogo wa elfu 2 amkomalia jamaa wa 80 alie mtorosha ndege wake

    Sisi tulio zaliwa miaka ya themanini katikati, themanini mwishoni na tisini pamoja na kaka zetu wa themanini mwanzoni na wale wa miaka ya sabini, tuache kushobokea issues za watoto wa elfu2 coz wana dunia Yao ya peke Yao. And they don't like us wanasema sisi washamba. Watoto wa tisini tu...
  4. Pre GE2025 Watoto wa 2000 ndo wataitoa CCM madarakani

    Ipo siku mtakumbuka huu Uzi Ila nawaambia vijana wa 2000 ndo wataleta mabadiliko ya kweli katika hili Taifa. Hiki ndo kizazi kimezaliwa katika nyakati ngumu sana, kizazi ambacho mtu anasoma degree Ila anakuja kulipwa 150K Kizazi kinachopitia mateso . So hiki kizazi Serikali inatumia nguvu...
  5. Watoto wa 2000 wanapenda wanaume matajiri

    Wadada Wanataka Wanaume Matajiri wa pesa alafu wao Ni maskini wa Akili,Utajiri na Ujinga Havikai sehemu moja", Ndio Maana Badala ya kuwa Na wadangaji mabilionea tuna wadangaji masingle mother wanaoita Wanaume wote Ni mbwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚", Wadada kumiliki Hela Sio kitu Rahisi,Ingekuwa Ni Simple Baba Zenu...
  6. Unaikumbuka kesi ya Zombe; watoto wa 2000 kaeni mbali kidogo

    Kesi ya Zombe ni moja ya kesi maarufu za mauaji nchini Tanzania. Inamhusisha aliyekuwa Afisa wa Polisi, Abdallah Zombe, na maafisa wengine wa polisi waliotuhumiwa kuhusika na mauaji ya wafanyabiashara watatu wa madini kutoka Mahenge, mkoani Morogoro, mwaka 2006. Maelezo ya Kesi Mnamo Januari...
  7. Watoto wa 2000 wanadhani hii ni cake

    Watoto wa 2000 wanadhani hii ni cake
  8. R

    Finally watoto wa 2000 wamekuwa wazee, 2005 ndiyo habari ya mjini

    Kuna kundi kubwa la wazee wa 2000 walitusumbua sana hapa miaka ya karibuni wakitaka haki ya kumiliki shirika la mapenzi Kuingia kwetu 2025 kumewaondolea rasmi haki miliki ya mapenzi na badala yake sasa wamesajiliwa kwenye kundi la wazee. Hakuna mtu mzima wa 2000 asiye na familia, la sivyo huyo...
  9. Watoto wa 90 na Watoto wa 2000 naomba mpite hapa kuna kitu cha kujifunza

    Wakuu! Leo tena nimeona isipite hivi hivi bila kutia neno lolote la maana na mimi kwenye tafakuri zangu. Hili nitakalolieleza ni moja kati ya yale mengi ambayo nimekaa nikayawaza sana kuhusu watoto waliozaliwa 90 na watoto waliozaliwa 2000. Kwanza kabisa inabidi uelewe watoto wa 90 ni wale...
  10. Wanao date na watoto Wa 2000 sijui wanawezaje?

    Hawa Mabinti wa 2000 bado akili zao ni ndogo sana,wana mambo ya ajabu ajabu na wivu wa kinaa sana. Muda wote vinawaza mapenzi ,havielewi kama huu ni muda wa kazi,vinataka mchati muda wote,vinaweza kukufuata sehemu ya kazi vikatia kambi hapo kinakupigisha stori hakuna cha maana. Mimi na viona...
  11. M

    'Madogo' wa miaka ya 2000 kila kitu wanajua wao

    WanaJamiiForums, habarini! Vilio vya ugumu wa maisha vimezidi kushika kasi siku baada ya siku. Zaidi vilio hivi vinatoka kwenye kundi hili la hawa vijana wa 2000 kuja juu. Ukizingatia ndilo kundi ambalo limemaliza vyuo vikuu na kwa ukubwa lipo mtaani. Wadogo zetu hawa siwasemi na wala...
  12. Umemtambua nani kwenye hii picha? watoto wa 2000 tulieni kwanza

    Taja mmoja pita ukae... watoto wa 2000 hawaelewi kitu hapa
  13. Watoto wa 2000 bwana!! Eti Zuchu ni mwandishi bora wa nyimbo kuliko Jaydee; really!?

    Nakumbuka hata mimi nilivyokuwa teenager nilidhani dunia ndio inanizunguka mimi, yani nilijua nilichokijua kuwa ni bora ndicho kilicho bora kuliko vingine vyote. Yani leo hii mtu anakuja kuandika humu JF eti haka kakisabengo ndiko kaandishi bora wa maandishi ya muziki. Tofautisha kati ya...
  14. Tuwakumbushe watoto wa 2000 na waweka mabango kuhusu mechi za simba na yanga

    Tuweke kumbukumbu sawa yanga ashapigwa na simba 1.6-0 2.5-0 3.4-1 4.3-1 5.2-0 6.1-0 Yanga washakimbia kabla ya mechi mara mbili na moja kipindi cha pili wakaingia mitini hizi ni rekodi za simba kuinyanyasa yanga Uto tunaitaka rekodi kama hii tuione!
  15. M

    Asilimia kubwa ya Watoto wa 2000 ni matokeo ya wazazi wa Miaka ya 75' Hadi 85'

    habari za ujenzi wa taifa? Hili swala la kuwachukulia Watoto wa miaka ya 2000 tofauti limekuwa likizidi kushamili siku Hadi siku sijajua labda social media kwa kipindi hiki ila hapo zamani kidogo (80' 90')sijawahi sikia kizazi fulani kikibezwa kwa namna yoyote tofauti na kuchukuliana lakini...
  16. Wa 2000 mnawajua hawa?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…