Vyombo habari vitakavyoweza kufanya interview na watoto wa Iddi Amin vitavutia wasikilizaji wengi sana, hii ni kwa sababu kuna mengi yamesemwa kuhusu Iddi Amin na kwa sababu Iddi Amin ni sehemu ya Historia ya Tanzania kupitia vita vya Tanzania na Uganda mwaka 1978.
Lumumba Amin
Jaffar Amin