Wakuu wasalaam..
Niko vijiji vya ndani ndani huku Ndiwili wilaya ya kilolo nimekuja kwa shughuli zangu..baridi ni kali .
Katika matembezi yangu nikakutana na watoto wadogo chini ya miaka 10 wengi ni 7 na 8 wakifanya vibarua vya kusomba mbao yaani kuzitoa msituni na kuzipeleka lilipo gari ili...