Je, serikali imeshindwa kabisa kuwaondoa na kuwadhibiti watoto hawa wa mitaani wanaolala chini ya daraja la Ubungo(Kijazi interchange) na ambao wamekuwa wakifanya kazi ya kusafisha vioo vya magari?
Sasa hivi wamejijengea tabia ya ajabu kabisa ya kutaka kusafisha kwa nguvu vioo vya magari, sasa...
Nataka kuuliza serikali ina mpango Gani kuhusiana na watoto wa mtaani jijini mwanza. Maana wanasumbua kweli katika maeneo ya Seketoure na Nata
Je, hao watoto hawana wazazi.
Na kama hawana wazazi, kwanini Serikali halijalichukulia maanani hilo suala?
Kwanini Wafungwa Wanapewa Chakula, Maji na Malazi, lakini Watoto wa Mtaani, ombaomba, na wenye Ulemavu mabarabarani, hawawezi kufanyiwa utaratibu wa kuwahudumia kama wanavyohidumiwa Wafungwa.
Na wakajiajiri katika miradi kama ilivyo kwa wafungwa ambayo itawasaidia kujipatia pesa na mahitajinyao...
Tanzania Ijayo bila Watoto wa Mtaani: Mwelekeo Sahihi wa Kitatuzi
Kadiri siku zinavyokwenda idadi ya watoto wa mtaani inazidi kuongezeka. Ongezeko lao linatishia mustakabali wa nchi kwa sababu ndani ya watoto wa mitaani, ndipo vikundi vya kihalifu huibuka kama vile pangaboy na panyaroad. Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.