Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema moja kati ya jambo linalothibitisha kwamba elimu ya shule za serikali si nzuri na haiaminiki ni hali ya viongozi wa juu serikalini ma kwenye vyama vya siasa kutopeleka watoto wao katika shule hizo.
Viti Maalumu vimekua ni nafasi za wachache kujimilikisha Mali tu.
Hata kama ni Mtaji wa Biashara, miaka mitano haitoshi??
Vijana wako mtaani ,Moja haikai Wala Mbili !!.
Hata wa Makundi maalumu pia, Mbunge Keisha Kawa Mbunge zaidi ya miaka 10 , sijawah Msikia anachangia,,, ni kweli hamna...
Kama kuna la kujifunza wengine wajifunze sasa. Na ni lazima wajilazimishe kutambua ya kwamba kuna kesho. Na kesho ni kubwa kuliko leo
Watoto wa wanasiasa.. Wazazi wenu baadhi mikono yao imejaa damu za watu. Wengine walifika walipofika kwa kuwakandamiza na kuwaumiza wengine.
Watoto wa wanasiasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.