Zile zama za kuwa na uhakika wa ajira ukiwa na elimu zilishapita kitambo sana.
Hali imebadilika mostly kuanzia 2010 soko la ajira za kisomi limekuwa gumu sana, Ajira nyingi inabidi uwe na CONNECTION aidha uwe na mtu wa kukushika mkono au umjue wa kumpa rushwa uingie, Ni kweli wapo wanaoingia...