Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kuwapata watoto wawili wakiume na wakike nyumbani kwa mganga wa kienyeji anayefahamima kwa jina la Abdulikarim mkazi wa Kimara baruti.
“January 12,2025 tulipata taarifa za kuibwa watoto wawili wadogo mmoja wa kike mwingine wakiume...