Tunaomba mtusaidie kupaza sauti, Serikali ijue madudu yanayofanyika Mpanda, watoza ushuru wanaotoza ushuru wa magari makubwa kushusha mizigo na kupakia mizigo ndani ya mji sio waaminifu.
Baadhi yao wanachukua hela wanaweka mfukoni na hawatoi risiti, kati ya magari 100 wanaoweza kupewa risiti ni...