Kama kichwa kilivyojieleza,
Sina uzoefu na mambo ya back up system, shida kila muuzaji unaemuuliza anakupa majibu yake kutetea maslahi
Jamii form najua ina watu wenye maarifa na haya mambo nitumie kama muongozo.
Battery na invertor capacity gani vinaweza kurun 140Watts kwa masaa 7-10? Bei...
Wakuu habari za boxing day.
Mojawapo ya mipango yangu ya 2024 ni kubadilisha na kupendezesha kisebule changu na vifaa vya kisasa vya kielektroniki.
Sasa nilikua naomba ushauri ama review ya sound bar taja hapo juu kutoka JBL.
Kwa sasa natumia JBL 9.1 ila nataka mwakani mapema ni upgrade...
Wakuu, nina uhitaji wa kifaa hicho kiwe ktk ubora ambao bado kinaweza kutumika kuendeshea mashine, kwani nimekutana na changamoto ya umeme pungufu kwenye shughuli yangu. Weka Bei na picha, karibu imbox
Iwe ni chaji iliyokuja pamoja na simu au ulinunua baada ya kupoteza au ya kwanza kufa, wengi huwa tunazingatia amps, volts, na watts kujua kama chaji hiyo ni fast charger na kama inafaa kwenye simu zetu. Wasiwasi wetu huwa unakuja tunapoona chaji ya uwezo mkubwa inauzwa bei ndogo. Huu wasiwasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.