Zaidi ya Watu 50 wamefariki Kaskazini Magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutokana na ugonjwa usiojulikana, hii ikiwa ni kwa mujibu wa Madaktari waliopo katika eneo hilo na Shirika la Afya Duniani (WHO).
Takriban visa 419 vimeripotiwa, vikiwemo vifo 53 tangu mlipuko wa ugonjwa huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.