Watu 50 wameuawa katika shambulizi la vikundi vya waasi katika Jimbo la Seno Kaskazini mwa Burkina Faso, ambapo washambuliaji hao wamehusishwa kuwa na uhusiano na vikundi vya Al-Qaeda na ISIL (ISIS).
Msemaji wa Serikali ya Burkina Faso, Lionel Bilgo amesema idadi ya vifo inaweza kuongezeka...