Kama mpo humu basi hii inawahusu kwanza customer care sijui mnaweka wanawake single maza maana wana kauli mbaya pia wa kiume nao hovyo kabisa sijui mme weka wale wenye misongo ya mawazo
Kitu kingine unamuwekeaje limit ya kufanya malipo kwa kutumia no nyingine are u serious yaani nataka kufanya...