Habari za weekend wakuu, i hope mu wazima wa afya.
Kama heading inavyosomeka, ni ipi hasa sababu ya msingi zaidi ya watu waliojipata kiuchumi kuachana???
Japo hata wale ambao bado hawapo vizuri kiuchumi huachana ila si kwa ukubwa kama ilivyo kwa waliojipata.
Watu wanaweza kuanza maisha wakiwa...