Wafungwa nao ni binadamu kama sisi tuu. Wanaugua na wanaweza kupoteza maisha wakiwa kifungoni.. Je sheria inasemaje?
Zamani tuliambiwa mfungwa aliye kifungoni akipata madhila ya kupoteza maisha huzikwa na serikali kupitia magereza na ndugu zake huja kupewa taarifa baada ya kifungo kwisha.. Je...