Hivi nchi yetu tunaelekea wapi jamani? Maana matukio ya kutisha yanazidi kutoea.
Haya Jeshi la Polisi mkoa wa Iringa limeingia kazini kufuatailia tukio la katibu wa CCM aliyeuwawa leo, Je watachukua muda gani kuja na majibu na pengine kuwakamata hao wauwaji?
==================
Jeshi la Polisi...
Hapa ndipo Tanzania ya Nyerere ilipofikishwa na Watukufu aliowaachia ambao wamejipa Uungu Mtu, Ngoja tuone Mwisho wao.
================
Mwenezi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Aisha Machano, ambaye anadaiwa kutekwa na kuteswa na baadae kuokotwa kwenye pori la Kibiti, akizungumza tukio...
Katibu Mwenezi Bawacha Taifa Mhe. Aisha Machano akiwa Kibiti kuendelea na majumu ya Chama ametekwa na kupigwa sana kisha kutupwa porini.
Vijana wa bodaboda wamemuokota akiwa katika Hali mbaya na maumivu makali. Waliomteka walitaka maelezo ni nani aliwaelekeza kuchoma vitenge vilivyogawiwa na...
Salamu kwenu wanaCHADEMA
Nakupeni pole na kuwapa pole wabongo wenzangu kwa matendo ya utekwaji na mauaji ya wananchi wasio na hatia. Kwa kweli nchiyetu kwa sasa hali inatisha, ombea usiingie katika mikono ya hawa chinjachinja, wauaji ambao mikono yao imeloa damu.
Niwapeni pongezi kwa jitihada...
Kuna "contradiction" ya hili neno amani namna inavyotafsiriwa na hawa watawala wetu, wakati mambo yanayoendelea hapa nchini, mara Kwa mara tunawasikia watawala wakirudia msemo huu wa kuwaomba watanzania tutunze amani yetu tuliyojaaliwa na Mungu Kwa nguvu zote, wakitolea mifano wa nchi nyingine...
Maisha yanaenda faster Sana Sana, Leo nimesali usharika WA KKKT hapo Tegeta. Kwenye matangazo tumesomewa barua iliyoandikwa na Mkuu wa Kanisa KKKT Askofu Dr Malasusa akilaani utekaji na Kwamba Hali inazidi kuwa mbaya.
Sijafanikiwa kupata nakala yake ila nimeamini usimkatie tamaa MTU, sikuwahi...
KWAMBA WASIOJULIKANA HAWACHAGUI WA KUWADHURU? AU TUNAJARIBU KUBALANCE MAMBO DAKIKA ZA JIOOOOOOOOONI, KUELEKEA SEPTEMBER 23
——
Watu wasiojulikana wanadaiwa kumvamia na kummwagia kimiminika kinachosadikiwa kuwa tindikali, kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Idrissa Makishe...
Habari hii ni kwa mujibu wa John Mrema kupitia mtandao wa X.
Baada ya siku 14 za kuzungushwa kwenye vituo mbalimbali vya polisi akiwa amefungwa kitambaa usoni ,hatimaye Leo Khamis Omary Khamis amepatikana akiwa kituo Cha Polisi Chato, ambako awali polisi walisema hawajamshikilia katika kituo...
Hali ya raia kuzuia polisi kukamata watu nchini Tanzania ni jambo linaloweza kuashiria mabadiliko makubwa katika mfumo wa utawala na usalama wa raia.
Katika kipindi cha hivi karibuni, kumekuwa na matukio kadhaa ambapo wananchi wamejitokeza kuzuia polisi wasiwakamate watu, ikiwemo waandamanaji...
Duuh, jamaa ana uchungu,katema cheche hatari. Ana hasira na yuko tayari kwa lolote....
Katibu mwenezi BAVICHA Taifa Twaha Mwaipaya amesema hakuna Jeshi la Polisi litaloweza kutuzuia vijana tukiamua kutafuta haki yetu barabarani. Ameyasema haya alipokuwa akichangia hoja katika kongamano la TCD...
Wanaoteka wana shida na pesa kwa sababu hata wao wanamahitaji. Ninachokiona sasa ni kuwepo uwezekano wa wahuni wachache kuanza kukamata wafanyabiashara na RAIA wa kigeni kisha kuwalazimisha wawape fedha.
Mifumo ya uhalifu duniani imejengwa kwenye uporaji wa mali na fedha. Mtu ambaye anaweza...
Bwana yesu asifiwe watumishi wa wa Mungu? Tumeona mabaraza mbalilmbali ya viongozi wa kidini viki paza sauti zao bila uoga juu ya mauwaji, utekaji, kumizwa?
Lakini hiki chombo muhimu( CPCT), SIJAWAI SIKIA tangu nizaliwe almost 50 years kukemea, kuonya, kushauli, kupendekeza jambo juu ya...
Mkuu wa KKKT Askofu Dr Malasusa amemuomba Naibu waziri Mkuu Dr Biteko wafanye kila wawezalo kumaliza tatizo la watu kutekwa na Kuuawa
Dr Biteko anawakilisha Serikali kwenye mazishi ya Askofu Dr Sendoro wa Mwanga
Askofu Dr Malasusa amesema hali ni mbaya ikiwa ni pamoja na Ongezeko la ajali za...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Septemba 16, 2024 akiwasili katika Baraza la Maulid yanayofanyika kitaifa mkoani Geita. Picha na Bakwata
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), limeungana na wadau wengine kusisitiza uchunguzi huru dhidi ya matukio ya utekaji na mauaji ya raia.
Kauli ya...
Naona tunakazana sana sababu tunajua mitanzania mingi haina uelewa. Itajikita mambo ya Simba na Yanga na kusahau ya msingi.
Hili limesukwa na kuja changamsha vijiwe huku mtaani watu wote wanazungumzia mbuzi kagoma. Simba na Yanga na sijui nini
Lengo ni kuwatoa watu kwenye Reli.
Wasalaam Watanzania!
Natumaini wote ni wazima wa afya kabisa na tunaendelea na kujilinda.
Kwanza kabisa naomba ku-declare interest, Mimi sio Mwanachama wa chama chochote cha siasa na wala sijawahi kugombea nafasi yoyote ile katika chama chochote cha siasa bali ni muumini wa HAKI na Viongozi...
Zitto Kabwe amesema Haikubaliki Haivumiliki na Haitakubalika Watu kuendelea Kupotea Kutekwa na Kuuawa
Jukumu la msingi la Dola lolote Duniani ni Kulinda Uhai wa Watu wake
Hakuna Taifa Bila Watu
Zitto Kabwe amehuzunika ukurasani X Baada ya taarifa za msaidizi wa Mnyika
Soma Pia:
Ally Hapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.