Jana niliongea na rafiki yangu akasema Zanzibar kupo poa sana, vitu bei rahisi na watu huko wana roho safi kuliko wa hapa Dar es salaam.
Sasa tuambizane, je ni kweli Dar kuna fitina sana kuliko kwingine Tanzania? Toa maoni yako humu
Pia soma Kufanyia mtu roho mbaya huumiza hata wasiokuwa na...
Umeenda semina Njombe, una ndugu yako kule. Unamtaarifu unakuja kumtembelea. Anakuambia karibu sana. Anakuelekeza panda daladala za Ramadhani shukia kwa Sanga. Unashuka stendi unamkuta ndugu yako na mkewe na watoto stendi wamekuja kukupokea! Mnatembea kitambo na kufika kwake. Watoto waliobaki...
Tabia hii ife kabisa msiwe mnajimaliza sana kwanini lakini Grahams Half american Zulu man MENEMENE TEKERI NA PERESI De Opera Gily Gru Labella Monetary doctor Fake P
Yes, nasema ushamba kwa sababu gani kukaa Dar es Salaam si kuwa uko mikoani hakuna watu ambao hawaijui hiyo Dar si wazawa ila kutokana na mihangaiko ya maisha wanajua chocho zote za Dar
Wanajua uhuni wote wa Dar sasa nyie mkienda uko nakuaanza aaah ona hii siyo kama Dar, mpo kijijini msibani...
Habari, Tangu jana Kuna nyuzi zinatembea humu kutusimanga watu wa mikoani watu wa darslam tumewakosea nini?
Mtupumzishe jamani au mnataka watu wote waishi DAR?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.