Kuna dada wa kazi alienda huko daslam baada ya mwezi akarudi baada ya kupata msiba,siku anarudi ngozi kama mzungu.alikaa kuomboleza kwa wiki mblIi akafubaa tena.
Wenzetuhuko daslam maji yenu ya kuoga munawekaga nini
Nimemtaja huyo binti lakini mifano ninayo mingi tu
Habari, Tangu jana Kuna nyuzi zinatembea humu kutusimanga watu wa mikoani watu wa darslam tumewakosea nini?
Mtupumzishe jamani au mnataka watu wote waishi DAR?
Inasikitisha kuona office nyingi ziko Dar pekee wasafirishaji kama dhl, sailenti osheni n.k hawana office baadhi ya mikoa vile vile mikoa waliyopo Wana gharama kubwa sana!, anyway watu wa mikoani tunaumia mnavyotutenga na hizi pesa zenu mnazowekeza Dar pekee why hata katika majiji tu walau...
Ndugu zetu wa mikoani mnaomba Sana hela
Nauliza je kilimo hakilipi? Au imekuaje tena? Njooni DSM mpambme na nyie mmiliki hela. Maana chakupewa hakishibishi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.