Nsikuchoshe na Usinchoshe, kwa kifupi tusichoshane!.
Kijana mwenzangu napenda kukupa ushauri wa bure kabisa.
Ushauri napenda kuwapa vijana (KIKE & ME) ambeo umetoka mkoani kuja mjini Dar es salaam kwa ajili ya kutafuta fedha,hapa mjini hatujaja kutafuta maisha,maisha hata mikoani yapo tena...
Niliwahi kuandika kwamba tozo za banks zimewagusa majizi na matajiri wa Mjini wakiwemo wanasiasa na watu wa kundi la Kati ndio maana walizipigia Sana kelele.
Sasa Serikali imeendeleza unyonyaji wa watu wa Vijijini Kwa kuwafutia tozo kwenye mabenks huku ikiacha tozo kwenye miamala ya simu ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.