Simulizi za haki za binadamu nchini China zinaanza kujitokeza katika zama mpya ya mageuzi ya kina na mabadiliko ya kihistoria. Ni hatua kubwa katika juhudi za China za kuondokana na umasikini na mchakato mzima wa demokrasia kwa raia wake, mageuzi makubwa katika sekta za mahakama, bima ya afya na...