Wanaotelekeza watoto wao na wanaokimbia majukumu ya kifamilia (ikiwemo kutunza wazazi wakizeeka).
Wanaowaonea wivu wengine na kuweka nguvu kwenye kuwashusha kiuchumi na au kuwazibia fursa kwenye shughuli zao za kujiingizia kipato.
Wanaochepuka kwenye mahusiano na kuleta magonjwa kwa wenza wao...