Kwa mujibu wa Radio one... Kanisa la Assembblies of God lililoko Songea mjini nalo limetishiwa kuchomwa moto na watu wasiojulikana. Mchungaji Alimosa Mwasangapole amethibitisha.
PIA SOMA
- Uelewa wangu juu ya kundi la watu wasiojulikana
~ Matukio ya Watu kupotea na wengine kudaiwa kutekwa...