KIJASUSI WAPE USHINDI WALEWE ILI WAACHE KUKUFUATILIA BALI WASHANGAZWE KWA MATOKEO.
Jasusi yoyote Duniani huwa habishani na mtu zaidi atakubaliana na wewe ili uvimbe kichwa lakini moyoni mwake hajakubali na kitachokushangaza ni matokeo.
Hii ni mbinu moja wapo ya kuishi na watu ambao hawataki...