NB
Nitakayoandika hapa ni kutokana na Imani yangu na utafiti wangu.
"Kwanini watu wazuri hufa mapema na wabaya wanaishi miaka mingi ".
Hapa dunia kuna kitu kinaitwa Purpose ( Kusudio) na ndani ya hilo kusudio there's a mission kuna mission ambayo binadamu amekuja kuifanya hapa duniani...