watuhumiwa wa ubakaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Arusha: Watuhumiwa wa Ubakaji na ulawiti wafungwa Maisha Jela, 280 vifungo mbalimbali

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kwa kipindi cha kuanzia mwezi Januari, 2025 hadi Februari 2025 lilifanya operesheni dhidi ya uhalifu na wahalifu na kufanikiwa kukamata watuhumiwa mbalimbali na kuwafikishwa Mahakamani. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna...
  2. BARD AI

    Mahakama Kuu yaombwa kueleza kama ni halali kwa Mawakili wa TLS kuwatetea watuhumiwa waliombaka Binti wa Yombo

    Shauri la maombi ya marejeo limefunguliwa katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dodoma dhidi ya mawakili na washtakiwa katika kesi ya jinai ya kubaka kwa kikundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti wa Yombo Dovya, Dar es Salaam. Maombi ya marejeo namba 23476/2024 yamefunguliwa leo Agosti 23, 2024...
  3. W

    Watuhumiwa wa Ubakaji Kuwakilishwa na wakili wa kujitegemea

    Leo ni siku ya tatu tangu watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wa binti wa Yombo Dovya jijini Dar es salaam wafikishwe mahakamani na kusomewa mashtaka yanayowakabili. Kesi hiyo itaendelea leo Agosti 21, 2024 kwa kuwasikiliza mashahidi ambao wameletwa na upande wa Jamhuri. Kesi hiyo namba 23476 ya...
  4. chiembe

    Kwanini huyu anayesemekana kuwa ni mwanajeshi anayetuhumiwa kubaka alikuwa hajafungwa pingu? Na hao waliokuwa wanaongozana naye ni akina nani?

    Nimeangalia katika TV na mitandao ya kijamii, nimeona huyo anayeitwa mwanajeshi hajafungwa pingu. Ninachofahamu, mtuhumiwa akiingia katika chumba cha mahakama, ndio pingu hutolewa. Lakini kwa huyu ni tofauti, na pia ni kama alikuwa kaambatana na watu wawili wasiofahamika, mmoja ana tisheti...
Back
Top Bottom