watuhumiwa wakamatwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwa dhati kabisa tunalipongeza sana jeshi la polisi ila na wao tutawalaumu pia naamini kabisa mnyororo wa watuhumiwa haujaisha

    Kwa uelewa wangu mdogo huyu "msaidizi wa paroko" hajakurupuka kuanzisha hii misheni lazima Kuna soko ambalo amelilenga na hiki kivuli cha usaidizi wa paroko ni moja ya kukamilisha misheni chafu ambazo naamini nyingi amekwishazitekeleza na hii imembumia kwa kuwa watanzania walilisimamia kidete...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…