watumishi serikalini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Huyu mtumishi achukuliwe hatua na kuonywa mara moja, anaenda kutengeneza chuki kubwa maofisini

    Wakuu, Kuna huyu mtumishi hapa kaandaa maombi kwa watumishi wa umma ili waweze "Kudumu kwenye nafasi zao" eti katikati ya vita. Tayari hapa ameshawaandaa kisaikolojia kuwa kazini kwako kuna mtu/watu wanakuwekea kauzibe, kuna watu wanakuroga, kuna watu wanakuwekea mavitu sehemu yako safari...
  2. senkoP

    Uhamisho wa Watumishi Serikalini kuwafataa wenza wao

    Ni muda mrefu sasa tangu serikali itoe tangazo kwa watumishi wanaotaka kuhama kufata wenza wao lakini mpaka sasa kimya. Labda kama kuna mwenye majibu kuhusiana na hili naomba atoe ufafanuzi kwani ndoa za watu zinaharibika migogoro inaongezeka kwenye familia. Sijui tatizo liko wapi mpaka sasa...
  3. G

    Ombi: Siku zilizotolewa kukamilisha mchakato watumishi Serikalini kufata wenza wa ndoa ziongezwe

    Kataika Tangazo la 24/09/2024 likilotolewa na Menejinent ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, lililotoka kwenye mfumo wa ESS Utumishi likitoa kibari Cha watumishi Serikalini kufata wenza ( uhamisho kufata mme au mke) kupitia Wakurugenzi wa Majiji, manispaa na halmashauli. Tunaomba muda yongezwe...
  4. Roving Journalist

    Dar: Afisa Mtendaji aliyeomba rushwa ya Milioni 1, ahukumiwa kulipa faini ya Tsh. 500,000

    AFISA MTENDAJI - PUGU KINYAMWEZI AHUKUMIWA KWA RUSHWA Mnamo tarehe 30/08/2024 imetolewa hukumu ya kesi ya Jinai namba 96/2023 mbele ya Mheshimiwa Hakimu Mkazi Mwandamizi Bittony Mwakisu.* Shauri hili liliendeshwa na mawakili wa Serikali Waandamizi Veronica Chimwanda na Fatuma Waziri ambapo...
  5. Kikwava

    Watumishi mkifanikiwa kuhama kwa njia ya Mfumo wa ESS basi washuhudieni watu ili waache kuleta nyuzi za kulalamika humu

    Husika na mada tajwa hapo juu, Kwanza naipongeza serikali ya awamu ya 6 kwa kuleta huu mfumo wa uhamisho kwa Watumishi wa umma kwasabu umerahisisha huduma na kuondoa urasmu kwa Watumishi. Pili. Ni vema kwa wale ambao wanafanikiwa kuhama kwa njia ya Mfumo wa ESS basi wakawa wanawashuhudia...
  6. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mchengerwa: Hatutasita Kuchukua Hatua kwa Kiongozi Anayewanyanyasa Wananchi

    WAZIRI MCHENGERWA: HATUTASITA KUCHUKUA HATUA KWA KIONGOZI ANAYEWANYANYASA WANANCHI Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Ofisi ya Rais TAMISEMI haitasita kuchukua hatua kwa kiongozi yeyote anayewanyanyasa wananchi kupitia ukusanyaji wa ushuru wa mazao kwani...
  7. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Twaha Mpembenwe: Watumishi Wengi Serikalini Wanalipwa Mishahara Midogo

    Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Twaha Mpembenwe amesema kuwa Uchambuzi wa Kamati ya Bunge ya Bajeti umebaini kwamba watumishi wengi wa Serikali wanalipwa mishahara midogo isiyoendana na kupanda kwa gharama za maisha. Kamati imeeleza hayo wakati ikiwasilisha bungeni jijini Dodoma...
  8. Lady Whistledown

    Njombe: Afisa Kilimo ahukumiwa Kwenda jela Miaka 5 au Faini ya Tsh. Laki 5 kwa kuomba na Kupokea Rushwa ya Elfu Kumi

    Afisa Kilimo wa Halmashauri ya Mji Makambako, Rashid Mustapha Makocha amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya akishtakiwa kwa kosa la kuomba na kupokea Rushwa ya Tsh. 10,000 (Elfu Kumi) Akisoma hukumu katika kesi hiyo Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Njombe, Isaac Mlowe amemtia hatiani...
Back
Top Bottom