Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amewasimamisha kazi baadhi ya watumishi wa Kituo cha Afya cha Ugalla kilichopo Kata ya Ugalla Halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi baada ya kushindwa kufanya usafi katika maeneo ya hospitali.
Watumishi hao wamesimamishwa kazi leo Februari 16, 2024, ili...
Kwa majina naitwa Abdul Komando Mtimbe (19) ninaishi Dar es salaam Tanzania.Nimezaliwa tarehe 07.12.2004
Nimepata elimu yangu ya msingi katika shule ya msingi Mchangani wilaya ya Kinondoni jijini DAR ES SALAAM ambapo nilianza mwaka 2010 na kumaliza 2016 na nilifanikiwa kujiunga na elimu ya...
Watumishi wa afya Hanang tumesainishwa karatasi za malipo ambazo hazioneshi kiasi tutakacholipwa matokeo yake wengine wamelipwa half per diem na wengine wamelipwa kwa extra duties na wengine mkurugenzi amegoma kutulipa lakini wote tumesaini karatasi za malipo kwa kazi hiyo moja ila malipo...
Anonymous
Thread
afya
hanang
malipo
mkubwa
upigaji
wahanga
watumishiwatumishiwaafya
=============
Serikali iemanza kufanya uchunguzi kuhusu video inayosambaa mtandoni ikiwaonyesha watoa huduma za afya wakisherehekea siku ya kuzaliwa kwa kumwagiana majitiba maarufu ‘dripu’.
Akizungumza na Mwananchi leo Jumapili, Desemba 3, 2023 Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Tumaini Nagu...
Waziri wa Afya ametoa kauli hiyo baada ya Watumishi 2 wa Afya, Rose Shirima na James Getogo kutoka Zahanati ya Ishihimulwa, Tabora kuonekana wakijibizana kuhusu kutumia Vipimo vya #Malaria vinavyodaiwa kuisha muda wa Matumizi.
Ummy amesema “Nimeona clip Mtu anang’ang’ana kumpima Mgonjwa Malaria...
Watumishi wa afya 290 kati ya 300 nchini Kenya wamefeli mtihani wa Kiingereza ambao ungewawezesha kupata kazi katika shirika la afya la Uingereza (NHS).
Julai 2021 Kenya iliingia makubaliano na Uingereza ambayo yatatoa fursa za ajira kwa wauguzi (wa Kenya) ambao hawana ajira.
Leo nikiwa natoka kazini kwenye daladala nimekaa pembeni yangu alikuepo Nnesi amevaa sare ya kazi nahisi naye alikuwa anatoka kazini.
Kwakweli kwa upande wangu sijafurahia alikuwa anatoa kwa mbali manukato ya hospitali.
Nimejiuliza mtu anayeshinda na wagonjwa wengine ni magonjwa hatari je...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Hospitali zote zinakabiliwa na uhaba wa Watumishi, akifafanua "Hii ni kutokana na kiwango cha ukuaji wa Uchumi"
Amesema hayo leo akiwa Moshi Mkoani Kilimanjaro katika Maadhimisho ya Jubilee ya Miaka 50 ya Hospitali ya KCMC
Ameongeza, "Tunapopiga mahesabu ya...
Mkuu wa Wilaya ya Same, Edward Mpogolo amesema baadhi ya wataalamu wa Afya wamekuwa na kigugumizi katika kupata chanjo ya #COVID19 hali ambayo huwaondolea hamasa wananchi katika kujitokeza kupata chanjo.
Amewataka wahudumu wa Afya wawe mfano bora ili kuwahamasisha wananchi kwenda na nia ya...
mambo yamekua mazitokupita kiasi, mpaka sasa vituo vya afya vilivyopo havina watumishi wa kutosha achilia mbali zile zahanati za vijijini ambazo unakuta zina muhudumu mmoja mmoja akipata dharula anafunga kituo.
sasa vituo vingi vimejengwa na vinaenda kukamilika Rasilimali watu hakuna...
Akiwa Bungeni Dodoma, Naibu Waziri wa TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amesema Sekta ya Afya ina upungufu wa Watumishi na hadi kufikia Mei mwaka 2021, Watumishi waliokuwepo ni 41% ya mahitaji halisi
Ametaja baadhi ya sababu za upungufu kuwa ni kustaafu kazi, kufariki dunia na kuongezeka kwa idadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.