Mbunge wa Jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, ametoa rai ya kulenga uwajibikaji kwa viongozi wa juu kama njia ya kudhibiti tatizo la rushwa katika taasisi za umma.
Akizungumza bungeni jijini Dodoma, Oktoba 29, 2024, Kunambi ameeleza kuwa utamaduni wa utawala hujengwa na viongozi wa juu wa taasisi...