Wote wamepewa fedha sawa kwa darasa moja (Mil 20). Ninavyosikia (Sina uhakika), vifaa vya ujenzi (Nondo, bati, Cement) DSM ni nafuu zaidi kulinganisha na mahali kama Bukombe kutokana na umbali kutoka viwandani. Lakini nikiangalia viwango vya madarasa katika picha hapa chini inaonesha kabisa...