MAKALLA AFANYA KIKAO NA UONGOZI NA WATUMISHI WA TOT
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu CPA Amos Makalla akizungumza na Watumishi na Wasanii wa Bendi ya Tanzania One Theatre (TOT), alipowatembelea ofisini kwao Mwananyamala jijini Dar Es...